Diploma ya Uuguzi na Ukunga
SIFA: Mwombaji awe na ufaulu wa angalau pass NNE katika matokeo ya mtihani wa kidato cha NNE ikiwemo Fizikia, Kemia na Baolojia
Diploma ya Famasia
SIFA: Mwombaji awe na ufaulu wa angalau pass NNE katika matokeo ya mtihani wa kidato cha NNE, ikiwemo Kemia na Baolojia
Diploma ya Ustawi wa Jamii
SIFA: Mwombaji awe na ufaulu wa angalau pass NNE za masomo yoyote katika matokeo ya mtihani wa kidato cha NNE, isipokuwa masomo ya Dini
IMPORTANT NEWS
National Council for Technical and Vocational Education and Training (NACTVET)
National Examination Council of Tanzania (NECTA)
NACTE Student's Information Verification (SIV)
Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children (MHCDGEC)
NEW MAFINGA HEALTH AND ALLIED INSTITUTE
P.O.BOX 193
MAFINGA
IRINGA - TANZANIA
Mobile: 0768114788/ 0763777660 / 0765431343
E-Mail: nemahuhai@yahoo.com
Website: nemahai.ac.tz